SERIKALI YAELEZA JITIHADA INAZOCHUKUA KUWEZESHA MATUMIZI YA GESI KWENYE MAGARI

Na Mwamdishi Wetu,Dar es Salaam SERIKALI imetoa msamaha wa kodi ya ushuru wa forodha (customs duty)  asilimia 25 kwa injini za magari yanayotumia gesi asilia yanapoingizwa nchini. Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 06,2024 Bungeni mjini Dodoma  na Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Grace Tendega. Tendega alitaka  kufahamu mpango wa…

Read More

MKUU WA WILAYA YA MALINYI  AVISHUKURU VYAMA VYA SIASA

Na Mwandishi Wetu,Morogoro MSIMAMIZI wa uchaguzi katika jimbo la Malinyi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri  ya Wilaya ya Malinyi  Khamis Katimba amevishukuru vyama vya siasa kwa ushirikiano mkubwa wanaompatia katika kipindi ambacho nchi inaelekea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa na kuongeza kuwa ushirikiano huo umemwezesha kutekeleza majukumu kwa ufanisi. Katimba meyasema hayo Otoba 5,…

Read More

WADAU WA KILIMO WATAKIWA KUTOA ELIMU YA UZALISHAJI MBEGU ZA MPUNGA

Na Mwandishi Wetu,Pwani WADAU wa masuala ya kilimo wametakiwa kujitokeza kutoa elimu  ya uzalishaji mbegu kwa wakulima wa mpunga  ili kuondoa changamoto ya  mbegu pamoja na kuongeza uzalishaji wa zao hilo nchini. Akizungumza  wakati wa kufungua mafunzo ya siku tatu ya uzalishaji wa mbegu za ubora wakuazimia (UKU) za mpunga yaliyofanyika wilayani Bagamoyo ambayo yameandaliwa  na Taasisi ya  Kimataifa ya Utafiti…

Read More

MADEREVA WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHALI NA KEMIKALI YA SODIAM SIANIDI

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WANANCHI wamesisitizwa kutokimbilia magari ya mizigo yanayopata ajali kwakuwa mengi yanabeba kemikali ikiwemo ya sodiamu sianidi ambayo ina madhara makubwa kwa binadamu. Akizungumza  katika uzinduzi wa kampeni ya kuelimisha kuhusu  kemikali ya sodiamu sianidi kwa wananchi  wanaoishi pembezoni mwa barabara  ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa ya karibu,Meneja wa Afya ,Usalama na…

Read More

DC SAME AZINDUA KAMPENI YA TAMASHA LA UTALII SAME UTALII FESTIVAL: ‘SEASON TWO’ MWAKA 2024

Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro  Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, amezindua kampeni ya tamasha la utalii awamu ya pili, “Same Utalii Festival”, ambalo litarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 20 hadi 22 Disemba 2024. Tamasha hili litafanyika katika Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, na linatarajiwa kuvutia umati mkubwa wa wageni. Katika uzinduzi uliofanyika katika hifadhi…

Read More