DAWASA YAANZA MATENGENEZO MTAMBO WA RUVU JUU
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa maandalizi ya matengenezo ya dharura ili kuzuia uvujaji wa maji katika maungio ya bomba la inchi 40 na inchi 28 katika Mtambo wa Uzalishaji Maji wa Ruvu Juu. DAWASA imelazimika kuzima mtambo wa Ruvu Juu kwa…