DK.GWAJIMA AWATAKA WAHITIMU KUJIENDELEZA KIELIMU
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito kwa wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kutokubweteka na kiwango cha elimu walichokipata bali wajiendeleze zaidi kwa maslahi mapana ya Taifa, maendeleo yao na jamii zinazowazunguka. Akizungumza leo,Desemba 11,2024 wakati wa mahafali ya 48 ya…