NIC kuanza kampeni yakutoa elimu ya bima kwa wananchi
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Taifa la Bima (NIC), Abdi Mkeyenge amesema mkakati wa shirika kwa sasa ni kuifikia jamii na kuwapa elimu ya bima kwakuwa wananchi wengi hawana uelewa. Mkeyenge ametoa kauli hiyo alipotembelea katika banda la NIC lililopo katika viwanja vya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba,amesema wamegundua wananchi wengi hawana…