Wafanyabiashara watakiwa kujitokeza Sabasaba kuona teknolojia za mataifa ya nje

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAFANYABIASHARA wametakiwa kutembelea katika viwanja vya  maonesho ya 48 ya biashara ya Kimataifa ili  kuweza   kuona teknolojia mbalimbali zikiwemo za kilimo na madini ambazo zitawasaidia kukuza  biashara zao. Akizungumza katika tamasha  la siku maalum ya Iran ikiwa ni muendelezo was nchi mbalimbali kujitangaza katika viwanja vya Sabasaba ,Mkurugenzi Mtendaji Tanzania Chember Of Commerce Industry and…

Read More

Wananchi 1,200 wapatiwa huduma katika banda la MOI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI)  imesema zaidi ya wanachi 1,200 wamepata huduma katika banda la taasisi hiyo lililopo katika viwanja vya  maonesho 48 ya biashara ya kimataifa maarufu kama Sabasaba. Akizungumza leo Julai 8 katika viwanja hivyo,Mkurugenzi wa Utawala  na Rasilimali Watu Orest Mushi amesema hali ya utoaji huduma…

Read More

Zaidi ya watu 800 wapatiwa huduma  banda la JKCI katika viwanja vya Sabasaba

Aziza Masoud,Dar es Salaam ZAIDI ya watu 800  wamefika katika banda la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kupima  matatizo mbalimbali  ikiwemo moyo,sukari na tiba lishe. Akizungumza katika maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba,Daktari wa Moyo  wa JKCIA Dk.Marsia Tillya amesema mpaka juzi Jumamosi banda hilo limeshapima wananchi wapatao 883  ambapo kati…

Read More

Matindi:Wateja wa mara kwa mara wa ATCL watapata ofa

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam Mkurugezi Mkuu Shirika la ndege Tanzania ATCL Ladislaus Matindi amesema  kwa sasa wameanzisha huduma ya kumtambua mteja ambae anafanya safari zake mara kwa mara   ili aweze kupata ofa ya kupandishiwa daraja la tiketi. Akizungumza na wananchi kutembelea banda lao la katika maonesho ya 48 ya biashara maaru kama Sabasaba  ili kujionea shughuli mbalimbali…

Read More

Jaji Mkuu aitaka BRELA kuunganisha Mahakama kwenye kanzidata

Mwandishi wetu ,Dar es Salaam JAJI Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma ameitaka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kuiwezesha Mahakama nchini kuunganishwa kwenye Kanzidata ya Wakala ili kuweza kuhakiki taarifa za kampuni kwa uharaka pindi inapokuwa  inashughulikia mashauri yahusuyo kampuni hizo Rai hiyo ameitoa alipotembelea banda la BRELA lilipo ndani ya jengo la…

Read More

Kasore:Kozi yakuwahudumia wazee itakuwa msaada kwa wanaoenda nje ya nchi

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Elimu na Ufundi Stadium (VETA)  imesema mtaala wa kuhudumia wazee ili kuwasaidia watu wanaotaka kwenda kufanya kazi hizo nje ya nchi kuwa weledi zaidi. Akizungumza baada ya kutembelea banda la VETA katika maonesho ya 48 ya biashara ya Kimataifa,Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo Antony Kasore  amesema mtaala huo  pamoja na wa…

Read More