FCC kuendelea kuwalinda wananchi na bidhaa bandia
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam TUME ya Ushindani nchini (FCC) imesema itaendelea kulinda wananchi ili wasiuziwe bidhaa zisizo na ubora na bandia kwakusimamia sheria ya ushindani inayodhibiti bidhaa hizo. Akizungumza na waandishi wa habari katika banda lao lililopo Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu…