MCHENGERWA AWATAKA UDART KUKAMILISHA MABASI 670 IFIKAPO DESEMBA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa amesema mahitaji ya  mabasi ya mwendo kasi kwa njia za Ubungo na Mbagala ambayo barabara yake  imeshakamilika  ni zaidi ya 670  na kuitaka   Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART)  kuhakikisha wanakamilisha idadi hiyo kabla ya Desemba mwaka huu. Mchengerwa ametoa kauli…

Read More

TCB KUINUA TASNIA  YA FILAMU,SANAA NCHINI 

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam  BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imeshiriki katika kikao kazi cha uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Maendeleo ya Filamu na Sanaa Tanzania linalotarajiwa kufanyika mwezi wa Disemba mwaka huu ambalo rimeratibiwa na taasisi ya FAGDI (Foundation Ambassadors Gender Development Initiatives) ikishirikiana na Bodi ya Filamu Tanzania.  Tamasha hili linawakutanisha wadau…

Read More

MADIWANI WA HALMASHAURI YA LUSHOTO WAPEWA ELIMU YA MRADI WA BAUXITE ULIOPO KATA YA MAGAMBA

Ashrack Miraji  Lushoto Tanga   Meneja wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Bagamoyo, Bi Ndimbumi Joram, akitoa elimu na ufafanuzi kwenye kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kuhusu mradi wa uchimbaji mdogo wa madini ya bauxite ulioko kijiji cha Magamba, kata ya Magamba, wilaya…

Read More

TCB YASISITIZA DHAMIRA YAKUPANUA UWEKEZAJI NJE YA NCHI 

Na Mwandishi Wetu,Arusha MKURUGENZI wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB),Adam Mihayo amesema kuwa benki hiyo  imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kupanua wigo wa uwekezaji nje ya mipaka ya nchi huku akisisitiza umuhimu wa  mashirika ya umma kuunda ubia  wa kimkakati utakaosaidia kuwafikia wateja. Hayo yameelezwa wakati wa kikao kazi cha siku tatu kinachohitimishwa hivi jana jijini Arusha. Kikao…

Read More

‘USAHIHI WA UTABIRI UNASAIDIA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA HALI YA HEWA’

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema ufanisi katika kutabiri kwa usahihi matukio mbalimbali ya hali ya hewa kunasaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali za hali mbaya ya hewa ambayo kwa kiasi kikubwa yamesababisha hasara ikiwemo vifo pamoja na upotevu wa mali kwa nchi mbalimbali barani Afrika. Profesa Mbarawa ameyasema hayo…

Read More

WAZIRI MAVUNDE AITAKA SEKTA BINAFSI KUJIANDAA NA MAPINDUZI MAKUBWA YA SEKTA YA MADINI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde ametoa rai kwa sekta binafsi nchini Tanzania kujiandaa na kuyapokea mageuzi makubwa yanayofanywa kwenye sekta ya madini ili watanzania washiriki kikamilifu kwenye uchumi huu. Mavunde ameyasema hayo leo Agosti 26,jijini Dar es salaam wakati wa mahojiano na kituo cha Televisheni cha Clouds wakati akielezea mikakati…

Read More

DCEA YATEKETEZA EKARI  1,165  ZA BANGI MOROGORO

Na Mwandishi Wetu,Morogoro MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya  (DCEA) kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama  imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga, Lujenge na Mafumbo vilivyopo wilaya za Morogoro vijijini na Kilosa.  Katika vijiji vya mafumbo na Lujenge Mamlaka imeteketeza jumla…

Read More

WAKANDARASI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA NJE YA NCHI

Na Aziza Masoud,Dar es Salam WAKANDARASI  nchini wametakiwa kuacha kulalamika badala yake kufanya kazi kwa bidii,weledi katika miradi wanayopewa nchini ili serikali iweze kuwasaidia kupata za miradi ya nje ya nchi Kauli hiyo imetolewa leo Agosti  24,2024 na Mwenyekiti wa Bodi  ya Nishati Vijijini (REB)  Balozi na Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu  katika kikao chakutambua wakabdarasi waliofanya vizuri katika Mradi…

Read More