CHANGAMOTO UCHAKATAJI MKONGE KUPATIWA UFUMBUZI

Na Mwandishi Wetu,Tanga  Changamoto ya uhaba wa mashine za kuchakata Mkonge (korona) inayowakabili wakulima katika maeneo yao inatarajiwa kuwa historia hatua itakayochochea ongezeko la uzalishaji wa zao hilo. Hatua hiyo imetokana na ziara ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), ambao walitembelea miradi mbalimbali ikiwamo mashamba ya Vyama vya Ushirika…

Read More

ENOCK KOOLA ANUSURU KILIMO CHA UMWAGILIAJI AJIUNGA NA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI WA MFEREJI WA USHIRIKA MAKUYUNI

Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Wanachama wa Ushirika Wametoa shukran za dhati Kwa Mdau huyo Kushiriki zoezi la Ujenzi wa Mfereji ambao unaohudumia zaidi ya kaya 500 kata ya Makuyuni wilaya ya Moshi vijijini Mkoani Kilimanjaro Mfereji huo wa Maji walikuwa wanautumia Kwa shughuli Mbalimbali za kijamii kama kilimo Cha mboga mboga na kunyweshwea mifugo Akizungumza…

Read More

TBS YAFUNGUA DIRISHA LA TUZO ZA UBORA KITAIFA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetangaza awamu ya tano ya mashindano ya tuzo za kitaifa za ubora ambapo washiriki watashindanishwa katika  vipengele  vitano ikiwemo kipengele cha kampuni bora ya mwaka. Akizungumza jijini leo  Agosti 14,Mkurugenzi  Mkuu wa TBS Dk.Ashura Abdul Katunzi amesema  tuzo hizo zilizoanza mwaka 2021 zina lengo  la kuwatambua na kuwapongeza watu binafsi  waliotoa mchango…

Read More

SEKRETARIETI YA MAADILI YAJIVUNIA VILABU VYA KUKUZA UADILIFU SHULENI,VYUONI

Na Nora Damian, Dodoma Sekteratieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema kupitia klabu za maadili zilizoanzishwa katika shule na vyuo mbalimbali nchini wanafunzi wamefundishwa elimu inayohusu uadilifu kwa lengo la kuja kupata viongozi waadilifu. Katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Nanenane yaliyofanyika kitaifa jijini Dodoma, sekretarieti hiyo iliambatana na wanafunzi wa klabu za maadili…

Read More