DK.KAZUNGU AIPONGEZA TANESCO KWA USIMAMAMIZI BORA WA MITAMBO
Na Mwandishi Wetu,Morogoro NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu, amewapongeza watumishi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa juhudi zao katika kusimamia kwa umakini mitambo mbalimbali ya umeme nchini Dkt. Kazungu ametoa pongezi hizo wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa mitambo ya umeme Mtera Januari 5, 2025 huku akisisitiza zaidi…