
KLINIKI YA SHERIA BILA MALIPO YAZINDULIWA KILIMANJARO
Na Mwandishi Wetu,Arusha MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro,Nurdin Babu amezindua rasmi Kliniki ya Sheria bila malipo kwa wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kwa lengo ya kusaidia kupunguza migogoro ya wananchi dhidi ya Serikali huku kuwawezesha Mawakili wa Serikali kusimamia Utawala wa Sheria na kushirikiana kwa ukaribu na Wadau pamoja wananchi katika kutatua masuala ya Kisheria….