
WAKAZI ZAIDI YA 1,000 MPIJI MAGOE KUNUFAIKA NA HUDUMA YA MAJISAFI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa maji Mpiji Magoe katika kata ya Mbezi Wilayani Ubungo wenye lengo la kutatua adha ya maji na kuhudumia kaya takribani 1,000 Akizungumza utekelezaji wa mradi huo, Mhandisi msimamizi wa mradi, Agness Kenani amesema…