
MSIGWA AAGIZA NYARAKA ZA UANZISHWAJI WA BODI YA ITHIBATI YA WANAHABARI ZIKAMILISHWE HARAKA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, amemuagiza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Wakili Patrick Kipangula, kuhakikisha nyaraka zote muhimu zinazohitajika kwa ajili ya uanzishwaji rasmi wa Bodi hiyo zinakamilishwa mapema ili…