
BENKI YA STANBIC YATOA MSAADA SHULE YA ST.JUDE
Na Mwandishi Wetu,Arusha Benki ya Stanbic Tanzania imetoa msaada wa viti 50 kwa Shule ya St. Jude ya jijini Arusha kuwezesha zaidi ya wanafunzi 1,800 wanaotoka kwenye familia zenye uhitaji kupata elimu. Msaada huu ambao ni sehemu ya sera ya benki hiyo ya uwajibikaji, katika kurudisha kwa jamii sehemu ya faida yake (CSR), utaimarisha uwezo…