
MGODI WA NDOLELA MWANGA MPYA KWA WANANCHI
Na Mwandishi Wetu,Iringa MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa kushirikiana na wananchi ambayo itaondoa adha ya wananchi hao kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya. Akizungumza katika mahojiano maalum, Mwenyekiti Mtendaji wa Kijiji cha Ndolela, Majuto Dumicus amesema Zahanati hiyo ikikamilika…