
MHANDISI BWIRE:TUNAIRUDISHA DAWASA KWA WANANCHI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire amesema wanakusudia kurejesha Mamlaka hiyo kwa wananchi ili kutoa fursa na na nafasi ya kufikisha mrejesho wa huduma na kutatua changamoto za Maji ili kusaidiwa kwa haraka. Mhandisi Bwire ameyasema hayo leo…