MGODI WA NDOLELA MWANGA MPYA KWA WANANCHI

Na Mwandishi Wetu,Iringa MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa kushirikiana na wananchi ambayo itaondoa adha ya wananchi hao kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya. Akizungumza katika mahojiano maalum, Mwenyekiti Mtendaji wa Kijiji cha Ndolela, Majuto Dumicus amesema Zahanati hiyo ikikamilika…

Read More

SERIKALI KUDHIBITI WANAOKWEPA KODI KWAKUBADILISHA MAJINA YA KAMPUNI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Waziri wa Fedha,  Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba  amesema Serikali imechukua hatua madhubuti kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi unaosababishwa na mabadiliko ya majina ya kampuni za kigeni kwa kuhakikisha Namba ya Utambulisho wa Kodi (TIN) inabaki ile ile hata kama kampuni itabadilisha jina. Hayo ameyasema bungeni jijini  Dodoma leo Februari 4 mwaka 2025…

Read More

WAGONJWA 12 KUFANYIWA UPASUAJI WA MGONGO KWA KUTUMIA MATUNDU MADOGO KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU MOI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAGONJWA 12 wanatarajiwa kufanyiwa a wa mgongo kwa kutumia teknolojia mpya ya upasuaji kwa matundu madogo (Spine Endoscope) katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wakati wa kambi maalum ya mafunzo ya matibabu hayo yanayoendelea MOI. Hayo yamebainishwa leo Jumatatu Februari 3, 2025 na Mratibu mwenza wa…

Read More