
TADB yatoa gawio la kihistoria la Shilingi Bilioni 5.58 kwa Serikali
Faida yaongezeka kwa kasi ni asilimia 31% ya ukuaji kwa mwaka mmoja Na Hubert Kiwale, DAR ES SALAAM BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetangaza gawio la kihistoria la Shilingi bilioni 5.58 kwa Serikali ya Tanzania, ongezeko kubwa kutoka Shilingi milioni 850 mwaka uliopita. Hayo yamesemwa leo Aprili 17, 2025 jijini Dar es Salaam…