WAKAZI CHEMCHEM WAJITOKEZA KUHAKIKI TAARIFA INEC

Wakazi wa Kata ya Chemchem, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, wameendelea kujitokeza kuhakiki na kuboresha taarifa zao katika vituo mbalimbali vya Wapiga Kura, kikiwemo cha Sekondari ya Milambo na Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Chemchem, leo Mei 2, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *