
MWAMBAGE:FURSA ZA MADINI ZIPO KIDIGITALI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma SEKTA ya madini nchini Tanzania inaendelea kushamiri kwa kasi, ikifungua milango ya ajira, uwekezaji na maendeleo kwa wananchi na Taifa kwa ujumla. Serikali kupitia Tume ya Madini imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa kuhakikisha usimamizi madhubuti, uwazi, na ushirikishwaji wa wadau wote katika mnyororo mzima wa shughuli za madini. Haya yamekuwa ni matokeo…