SERIKALI YAZIDI KUHAMASISHA NISHATI SAFI, YATOA MITUNGI 225 KWA WATUMISHI GEREZA KUU MAWENI

Na Mwandishi Wetu,Tanga Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuwezesha, kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu umuhimu wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa watumishi wa magereza na wananchi ili kufikia malengo yaliyoainishwa kwenye mkakati wa kitaifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia (2024 – 2034). Hayo yamebainishwa leo Juni 24, 2025…

Read More