
BABA LEVO ATEMBELEA BANDA LA TTCL
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MSANII na Mtangazaji maarufu nchini ambaye pia ni Balozi wa Kampeini ya Walete ya Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL, Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo ametembelea banda la TTCL katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya SabaSaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es…