
DCEA:KILA ANAYEFANYA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA TUTAMFIKIA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA) imeendelea kutoa tahadhali kwa wafanyabishara wa dawa za kulevya mkono wa sheria utawafikia kwakuwa wamekuwa chanzo kikubwa chakuharibu jamii. Akizungumza leo Julai 5,2025 katika Maonesho ya Biashara ya 49 ya Kimataifa yanayoendelea Sabasaba jijini Dar es Salaam ,Kamishina Jenerali wa Mamlaka…