
WADAU WATAKIWA KUUNGANA NA TOTAL KUTOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WADAU watakiwa kushirikiana katika kutoa elimu ya usalama na maendeleo ya kijamii kwa wanafunzi wangali bado vijana ili kuwekeza katika Taifa salama la badae. Akizungumza katika shule ya sekondari ya Ndalala wakati wa uzinduzi wa mradi wa Via Creative unaosimamiwa na kampuni ya nishati ya Total Energy,Kaimu Katibu Tawala Wilaya…