
INEC YAHIMIZA VYOMBO VYA HABARI KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI KWA USAHIHI
Na Waandishi Wetu,Dar es SalaamTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imevihimiza vyombo vya habari nchini kuripoti kwa usahihi na kwa wakati kuhusu taarifa zote zinazohusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ili kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi. Kauli hiyo imetolewa leo, tarehe 1 Agosti 2025, jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa…