REA YATOA BILIONI 4.37 JKT KUHAMASISHA NISHATI SAFI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuwezesha, kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu umuhimu wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa watumishi na askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili kufikia malengo yaliyoainishwa kwenye mkakati wa kitaifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia (2024 – 2034). Hayo yamebainishwa…

