TUME YA MIPANGO YATAKA SERA,SHERIA ZINAZOENDANA NA DIRA 2050
Na Aziza Masoud,Dar es SalaamTUME ya Taifa ya Mipango (NPC) imesema miongoni mwa vitu ambavyo wataviangalia kwa ukaribu ni sera na sheria za nchi ziweze kuendana na Dira ya Taifa 2025-2050 ili kuweza kutekeleza mpango huo kama inavyotarajiwa. Kauli hiyo imetolewa leo Agosti 19, 2025 na Naibu Katibu Mtendaji anayeshughulikia Mipango ya Kitaifa wa Tume…

