
RAIS SAMIA AWAFUTA MACHOZI YA KUNI AKINA MAMA NCHINI
Na Mwandishi Wetu,Morogoro WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza mradi wa shilingi 9,400,799,626.7 wa kusambaza majiko yaliyoboreshwa maarufu kama majiko banifu 200,000 kwa bei ya ruzuku ya asilimia 80 hadi 85 kote nchini. Hayo yamesemwa Agosti 4, 2025 na mwakilishi wa REA Mkoani Morogoro, Mhandisi Cecilia Msangi wakati akimtambulisha Mtoa huduma aliyeshinda zabuni ya kusambaza…