TPHPA YAZINDUA TEKNOLOJIA MPYA YA KUBAINI VISUMBUFU VINAVYOATHIRI UZALISHAJI WA MAZAO

Na Asha Mwakyonde, Dodoma MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imezindua matumizi ya teknolojia mpya ya vipimo vya vinasaba (DNA) kwa ajili ya kubaini visumbufu mbalimbali vinavyoathiri uzalishaji wa mazao nchini, ikiwemo magonjwa na wadudu waharibifu. Tanzania imekuwa nchi ya kwanza duniani kuingiza teknolojia hiyo katika sekta ya kilimo. Hayo yamesemwa leo,…

Read Full News

KILOSA WAMSHUKURU RAIS DK.SAMIA KUWAFIKISHIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu,Morogoro WANANCHI Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wameshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwafikishia mradi unaosimamiwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wa kusambaza majiko yaliyoboreshwa maarufu kama majiko banifu kwa bei ya ruzuku ya shilingi 14,700 kwa kila jiko. Wametoa shukrani hizo Agosti 6, 2025…

Read Full News

WIZARA YA NISHATI ENDELEENI KUSIMAMIA UFANISI WA MIRADI YA NISHATI- DED MKALAMA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma MKURUGENZI Wilaya ya Mkalama, Mkoani Singida, Asia Juma Messos ametoa wito kwa Wizara ya Nishati kuendelea kusimamia vyema Taasisi zake ili ziendelee kutekeleza miradi ya Sekta ya Nishati kwa ufanisi na hivyo kuleta maendeleo kwa Wananchi. Messos amesema hayo Agosti 6, 2025 wakati alipoitembelea Banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake…

Read Full News

DKT. MWAISOBWA AKABIDHIWA PRESSCARD

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) Wakili Patrick Kipangula leo amemkabidhi Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Presscard) Dkt. Cosmas Mwaisobwa ambaye ni Msaidizi wa Makamu wa Rais (Hotuba) . Dkt. Mwaisobwa amepokea Kitambulisho hicho leo tarehe 05 Agosti, 2025 baada ya kukidhi vigezo vinavyohitajika…

Read Full News

WANANCHI WAKARIBISHWA NANENANE KUFAHAMU KWA KINA MPANGO MAHSUSI WA NISHATI 2025-2030

Na Mwandishi Wetu,Dodoma WIZARA ya Nishati imekaribisha wananchi kuendelea kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima- NANENANE jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo Mpango mahsusi wa Taifa wa Nishati wa mwaka 2025-2030. Imeelezwa kuwa mpango huo uliosainiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Misheni 300 mwezi…

Read Full News