REA YAUZA MAJIKO 1,500 KWA BEI YA RUZUKU KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA
Na Mwandishi Wetu,Geita MAONESHO ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini mkoani Geita yamehitimishwa rasmi na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambayo yalifunguliwa Septemba 18 na kufikia kilele tarehe 28 Septemba, 2025 Wakala umeshiriki maonesho hayo kwa kutoa elimu ya nishati safi ya kupikia, kutoa elimu ya miradi…

