MASHIRIKIANO PURA,ALNAFT KUIMARISHA UFANISI WA UTENDAJI

Na Mwandishi Wetu,ALGERIES MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA) imekutana na kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli ya Nchini Algeria (ALNAFT) kwa lengo la kujadili mashirikiano yatakayowezesha, pamoja na mambo mengine, kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo katika eneo la udhibiti wa shughuli za utafutaji na uzalishaji…

Read Full News

WANANCHI TUNZENI BARABARA KWA KUZIFANYIA USAFI: MHANDISI MATIVILA

Na Mwandishi Wetu,Mwanza NAIBU Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila amewataka wananchi kuhakikisha wanazitunza barabara kwa kuzifanyia usafi ili zidumu kwa muda mrefu. Mhandisi Mativila ameyasema hayo leo wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa miundombinu ya barabara zinazosimamiwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) katika wilaya ya Ukerewe mkoani…

Read Full News

MRADI WA TACTIC KUJENGA BARABARA ZA LAMI KM 17 MANISPAA YA GEITA

Na Mwandishi Wetu,Geita Mradi wa TACTIC unatekeleza ujenzi wa barabara zenye urefu wa Km 17 kwa kiwango cha lami katika Manispaa ya Geita, mkoani Geita unaotarajiwa kufungua mawasiliano katika Manispaa hiyo. Ujenzi wa barabara hizo inaelezwa kuwa zitachochea biashara na shughuli nyingine za kijamii katika manispaa hiyo na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi ngazi…

Read Full News