
MKURUGENZI MKUU DAWASA MTAA KWA MTAA KUKAGUA HUDUMA YA MAJI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire amefanya ziara ya kikazi kukagua hali ya upatikanaji wa maji katika Wilaya ya Ubungo na Ilala katika maeneo ya Ubungo, Mburahati, Magomeni, Saranga na Kinyerezi. Ziara hiyo ililenga kujionea hali halisi ya…