OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI WARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI BWAWA LA KIDUNDA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam OFISI i ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la Kidunda, mkoani Morogoro huku ikisema wana nafasi ya kushauri na kusaidia mambo mbalimbali yakiwemo ya kimkataba. Mradi wa Kidunda unagharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 335, unatarajia kukamilika ifikapo Juni 2026 na kuchangia kuimarisha huduma ya maji…

Read More