HALI YA HUDUMA YA MAJI DAR, PWANI NI SHWARI’
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Wakazi mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani wameridhishwa na hali ya huduma ya maji katika maeneo yao inayozidi kuimarika na hawana hofu juu ya usalama wa huduma hii. Upatikanaji huo wa maji unaoridhisha ni mkakati wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es…

