DK.GWAJIMA:SERIKALI INAENDELEA KUCHUKUA HATUA ZA KUIMARISHA MALEZI YA WATOTO
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SERIKALI imesema kuwa ulinzi wa mtoto na makundi maalum ni jukumu la familia, jamii na Taifa kwa ujumla hivyo ni vizuri kushirikiana na serikali kwakuwa kwa sasa imeendelea kuchukua hatua za kuimarisiha malezi bora ya watoto na kuzuia vitendo vya ukatili. Akizungumza jana Desemba 22, 2025 jijini Dar es Salaam …

