TANESCO YAWAKUMBUSHA WATEJA KUTUMIA VIFAA VINAVYOTUMIA UMEME NAFUU MSIMU WA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewakumbusha wateja wake kutumia nishati safi yakupikia kwakutumia vifaa vya umeme vinavyotumia umeme nafuu katika msimu huu wa sikukuu. Kupitia video iliyotolewa na Tanesco inayoonyesha wananchi wakifurahia matumizi ya nishati safi ya umeme kwa kupikia kwakutumia vyombo mbalimbali vya umeme ikiwemo majiko ya umeme ambayo…

