
OFISI YA MSAJILI YAZITAKA TAASISI ZA UMMA KUTUMIA SABA SABA KUJITANGAZA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam OFISI ya Msajili wa Hazina imetoa rai kwa taasisi za umma kutumia maonesho ya 49 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba kama jukwaa la kutangaza huduma zinazotolewa na serikali. Akizungumza Jumatatu, jana katika viwanja vya Saba saba, Sabato Kosuri, ambaye ni Kaimu Mkuu wa Kitengo…