DAWA MPYA ZA KULEVYA 1400 ZATENGENEZWA DUNIANI KUKWEPA MKONO WA SHERIA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)  dawa mpya za kulevya zinatengenezwa kwa kasi kubwa duniani  ambapo mpaka sasa zimeshabainika dawa zaidi 1400. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika semina ya wadau wa DCEA Kamishna Msaidizi wa Sayansi Jinai wa Ziliwa Machibya alisema  kumekuwa na ongezeko la…

Read Full News

UDOM, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, LSF WASHIRIKIANA KUIMARISHA HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA

Na Asha Mwakyonde, DODOMA WIZARA ya Katiba na Sheria imesaini mkataba wa makubaliano na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) pamoja na Shirika la Legal Services Facility (LSF), kwa lengo la kupanua na kuimarisha huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi ili waweze kupata haki zao kwa urahisi zaidi. Kupitia makubaliano hayo, Chuo Kikuu cha Dodoma…

Read Full News

DCEA YAKAMATA ZA KULEVYA KWA MKENYA ALIYEKUWA AKIUZA CHAI 

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na  Dawa za Kulevya  (DCEA) imemkamata raia wa Kenya, Kilonzo Mwende (35) na  gramu 131 za heroin ambapo mtuhumiwa huyo  alikuwa akiishi nchini tangu mwaka 2023 akijifanya mfanyabiashara wa kuuza chai ya maziwa katika ofisi mbalimbali.  Akizungumza jijini Dar es Salaam Januari 8, 2026  Kamishina…

Read Full News