EWURA YAPONGEZWA KWA KUDUMISHA UHIMILIVU WA BEI ZA NISHATI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma MWENYEKITI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Subira Mgalu, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa juhudi zake za kudumisha uhimilivu wa bei za nishati, hususan mafuta na umeme. Amesema kuwa hatua hiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kulinda maslahi ya watumiaji na kuimarisha utulivu…

