KAMATI YA UONGOZI WA MRADI WA JNHPP YAKAGUA MAENDELEO YA BWAWA LA JULIUS NYERERE

KAMATI YA UONGOZI WA MRADI WA JNHPP YAKAGUA MAENDELEO YA BWAWA LA JULIUS NYERERE Na Mwandishi Wetu,Dodoma KAMATI ya Uongozi wa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), tarehe 26 Februari 2026, imekagua maendeleo ya uzalishaji wa umeme katika bwawa la Julius Nyerere na kueleza kuridhishwa na usimamizi pamoja na utekelezaji wake, uliokidhi viwango vya…

Read Full News

NDEJEMBI AITAKA PURA KUWAJENGEA UWEZO WATANZANIA KUSHIRIKI MRADI WA LNG

Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratous Ndejembi, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuimarisha mipango yake katika ukusanyaji wa data sahihi, tathmini ya vitalu vya utafiti, na maandalizi ya Watanzania kushiriki kikamilifu katika miradi mikubwa ya kimkakati, ikiwemo mradi wa kuchakata gesi asilia kuwa kimiminika (LNG). Mhe. Ndejembi…

Read Full News

DKT. MATARAGIO: PURA ONGEZENI KASI UTAFITI WA MAENEO MAPYA YA MAFUTA NA GESI

Na Mwandishi Wetu, Morogoro KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dkt. James Mataragio, ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuongeza kasi ya utafiti wa awali katika maeneo mapya ya mafuta na gesi asilia ili kuvutia wawekezaji na kuongeza mapato ya taifa. Akizungumza leo Februari 26, 2026, wakati…

Read Full News

SGR MWANZA–ISAKA YAFIKIA ASILIMIA 68 – SERIKALI YAAGIZA KASI NA UBORA KUZINGATIWA

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa leo tarehe 24 Februari, 2026 amekagua utekelezaji wa Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) Lot 5 kipande cha Mwanza–Isaka (km 341) unaogharimu Sh trilioni 3.06, na kuagiza kasi iongezwe huku viwango na ubora wa kimataifa vilivyosanifiwa kwa mtandao mzima wa SGR vikizingatiwa kikamilifu. Amesema Serikali ya…

Read Full News

RC DENDEGO AMPA TANO DKT SAMIA UTEKELEZAJI KWA VITENDO MRADI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu,Singida KATIKA nchi inayokumbwa na changamoto za kiafya, mazingira na umasikini, nishati safi ya kupikia si tu hitaji la msingi bali ni kichocheo cha maendeleo ya kweli kwa watu na Taifa kwa ujumla. Katika kukabiliana na ukataji miti ambapo takribani asilimia 16 ya eneo la nchi tayari limegeuka kuwa janga, Serikali ya Awamu…

Read Full News