MAFUNZO YA MODULI YA NeST KUIMARISHA UWAZI NA HAKI KATIKA ZABUNI ZA UMMA
Na Asha Mwakyonde, DODOMA MAMLAKA ya Rufani ya Ununuzi wa Umma (PPAA) imewataka wazabuni na wadau wote wa ununuzi wa umma nchini kushiriki mafunzo ya matumizi ya moduli ya kuwasilisha malalamiko na rufaa kupitia Mfumo wa Kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST) ili kuongeza ufanisi na uelewa wa matumizi ya mfumo huo. Wito huo umetolewa…

