DAWASA YAANZA KUFUNGA PAMPU ZITAKAZOIMALISHA HUDUMA ZA MAJI
Na Mwandishi Wetu,Pwani MAMLAKa ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imeanza rasmi zoezi la kufunga Pampu 3 kati ya Pampu 7 zilizowasili mapema Mwezi Mei Mwaka huu zinazotarajia kuimarisha na kupunguza changamoto za kihuduma katika Mikoa ya Dar es salaam na Pwani. Pampu hizo zitakazofungwa katika Mitambo mikubwa ya uzalishaji Maji…

