Tanzania yaunga mkono mbinu mpya kifedha zitakazosaidia kuimarisha sekta za usafiri wa anga na afya barani Afrika

Na Mwandishi Wetu Tanzania imeelezea msimamo wake wa kuunga mkono mbinu za fedha za mseto (blended finance) zitakazosaidia kuimarisha sekta za usafiri wa anga na afya barani Afrika, akieleza kwamba hakuna chanzo kimoja kitakachoweza kuziba mapungufu ya miundombinu ya bara hilo. Akizungumza kama Gavana Mbadala wa Tanzania kwenye mkutano ulioandaliwa na Benki ya Maendeleo ya…

Read Full News

DAWASA YAFAFANUA SABABU ZA UKOSEFU WA MAJI MAENEO YA KIBAHA HADi KISARAWE

‎Na Mwandishi Wetu,Pwani ‎MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji iliyowakumba wakazi wa maeneo yanayohudumiwa na Mtambo wa Uzalishaji Maji wa Ruvu Juu kuwa ni matengenezo makubwa yaliyolenga kuboresha na kuimarisha huduma zaidi.‎‎Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano DAWASA, Bi. Everlasting Lyaro,…

Read Full News

TERENCE KUTEMBELEA VITUO VYA UTALII  ZAIDI YA VITANO BARA NA ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imempokea bondia mashuhuri  kutoka nchini Marekani  Terence Crawford ambaye atafanya ziara nchini kwa muda wa wiki moja ambapo pamoja na mambo mengine  atatembelea vituo vya utalii zaidi ya vitano vilivyopo Tjanzania Bara na Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari leo  Mei 24, 2026 Mkurugenzi Mkuu…

Read Full News

DAWASA YASISITIZA MATUMIZI YA BIDHAA ZA NDANI KUIMARISHA HUDUMA ZA MAJI

Na Mwandishj Wetu,Pwani MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema itaendelea kuunga mkono matumizi ya bidhaa zinazozalishwa na wazalishaji wa ndani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza uchumi wa taifa sambamba na kuimarisha upatikanaji wa vifaa vinavyosaidia utoaji wa huduma ya majisafi kwa wananchi. Kauli hiyo imetolewa na Afisa…

Read Full News

TTB YAMKARIBISHA BINGWA WA MASUMBWI DUNIANI TERENCE KWA ZIARA YA UTALII WA MICHEZO

Na MwandisMKURUGENZI wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru, amemkaribisha nchini kwa mara ya kwanza bingwa wa masumbwi duniani, Terence Crawford, ambaye katika historia yake hajawahi kupoteza pambano lolote. Ziara hiyo ya wiki moja nchini imeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,…

Read Full News