MKURUGENZI WA RASILIMALI WATU TANESCO AWAHAKIKISHIA USHIRIKIANO MAAFISA HUDUMA KWA WATEJA KUBORESHA UTENDAJI
Na Mwandishi Wetu,Dpdo Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala TANESCO, Bi. Beatrice Kimoleta, amewahakikishia Maafisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja ushirikiano katika kufanikisha upatikanaji wa nyenzo muhimu zitakazowawezesha kuhudumia wateja kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu. Ametoa kauli hiyo Mei 22, 2026 alipokuwa akifunga mkutano mkuu wa mwaka wa maafisa hao uliofanyika kwa…

