WAOSHA MAGARI WAUZA MAUA WAPEWA SOMO UPOTEVU MAJI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewataka wafanyabiashara wanaotegemea maji katika shughuli zao, wakiwemo waosha magari, wafyatua matofali na watunza bustani, kushiriki katika kudhibiti upotevu wa maji na kulinda miundombinu ya huduma hiyo. Wito huo umetolewa katika kikao cha kutoa elimu kwa wafanyabiashara hao kuhusu…

Read Full News