DAWASA YAJA NA SULUHISHO HUDUMA YA MAJI MKURANGA
Na Mwandishi Wetu,PwaniMamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imenunua pampu mpya yenye thamani ya Sh milioni 250 kwa ajili ya kisima kinachohudumia Mkuranga Mjini, hatua inayolenga kuongeza uzalishaji na kuondoa changamoto ya mgao wa maji katika eneo hilo.Pampu hiyo inatarajiwa kufungwa na kuanza kufanya kazi Mwezi Oktoba mwaka huu, huku…

