TANESCO YASHIKA NAFASI YA PILI KWA USIMAMIZI BORA WA FEDHA KWA TAASISI ZA UMMA ZA BIASHARA

Na Mwandishi Wetu,Arusha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amelikabidhi Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tuzo ya mshindi wa pili kati ya Mashirika ya Umma ya Huduma na Biashara 306, kwa Utendaji Bora katika Usimamizi wa Fedha (Best Financial Management Performance – Commercial Entities). Tuzo hiyo imetolewa Septemba 30,…

Read Full News