WAVULANA WAWAPITA WASICHANA MATOKEO DARASA LA SABA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAVULANA wameongoza wasichana katika matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) mwaka 2026, wakipata ufaulu wa asilimia 86.18 dhidi ya asilimia 84.43 za wasichana. Hata hivyo, ufaulu wa jumla umeongezeka hadi asilimia 85.22 mwaka huu kutoka asilimia 81.80 mwaka 2025, sawa na ongezeko la asilimia 3.42. Akizungumza…

