WAZIRI HOMERA AMPONGEZA RAIS SAMIA KUONGOZA KWA VITENDO AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA BARANI AFRIKA

📌Ataja matumizi ya nishati safi kupanda kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi kufikia asilimia 28.6 mwaka 2025. 📌Wizara kuja na mkakati kabambe wa kuwawezesha vijana kutengeneza majiko banifu nchi nzima 📌TANESCO,REA na TPDC kuongeza kasi ya utoaji elimu na usambazaji wa majiko banifu na ya umeme Na Mwandishi Wetu,Uturuki Waziri wa Nishati, Mhe Juma Homera,…

Read Full News

WATUMISHI WA REA WATAKIWA KUIMARISHA NIDHAMU, UWAJIBIKAJI NA UTUNZAJI WA RASILIMALI

📌 Mha. Saidy awataka watumishi kuzingatia weledi, uadilifu na matumizi sahihi ya rasilimali za Wakala. 📌 Msangira: Baraza la Wafanyakazi ni chachu ya mafanikio katika utekelezaji wa miradi ya REA. Na Mwandsihi Wetu, Arusha Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy, amewataka watumishi wa Wakala kuimarisha nidhamu, uwajibikaji na utunzaji bora…

Read Full News