TANESCO YASHEREKEA MIAKA 95 YA KULIANGAZA TAIFA

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesherehekea miaka 95 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1931, likijivunia mafanikio yaliyopatikana katika safari ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme nchini. Akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyofanyika leo katika Ofisi za TANESCO jijini Dodoma, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Bw. Lazaro Twange, amewashukuru watumishi wa shirika hilo wanaokadiriwa…

Read Full News

WAZIRI HOMERA AIPONGEZA TANESCO KWA MAFANIKIO, IKITIMIZA MIAKA 95

📌Asema imejipanga kuongeza uwezo wa uzalishaji umeme na kufikia megawati 8,000 📌Aeleza Serikali inatambua mchango wa TANESCO katika kufanikisha ukuaji wa viwanda, uwekezaji na huduma zakijamii Na Mwandisbi Wetu,Dar es Salaam Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Juma Homera, amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika kuimarisha upatikanaji wa…

Read Full News