FUCHS KUJA NA OFA ZA VILAINISHI SIKUKUU ZA KRISMASI
Na Mwandishi Wetu,Dar es SalaamKAMPUNI ya Fuchs, inayojihusisha na uzalishaji wa vilainishi vya injini na mitambo, imekuja na ofa mbalimbali kwa wateja wake kuelekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, ikiwa ni sehemu ya kuwashukuru kwa kuendelea kutumia bidhaa zake. Mbali na ofa hizo, kampuni hiyo imemtambulisha balozi wake mpya Nana Dolls ambaye atakuwa sehemu…

